News

Abiria wa mabasi na watumiaji wengine wa vyombo vya moto wamekwama katikati ya Mbuga ya Mikumi, Barabara ya Morogoro - Iringa ...
Dosari za kisheria zimesababisha Hamisi John kuepa adhabu ya kifungo cha maisha jela alichohukumiwa baada ya kutiwa hatiani ...
Mashindano ya mchezo wa mpira wa pete kwenye mashindano ya UMITASHUMTA 2025 yameendelea leo Juni 14, 2025 kwa ushindani mkali ...
Siku moja baada ya kutambulishwa, Mshambuliaji mpya wa Manchester United, Matheus Cunha ametaja sababu mbili ambazo ...
Serikali imeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi katika kesi ya jinai inayowakabili wanafunzi watatu wa vyuo vikuu, likiwemo la kusababisha madhara ya kimwili, bado unaendelea.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Cosato Chumi amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Mwakilishi Mkazi mpya wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN) ...
Wakili Mkuu wa Serikali, Dk Ally Possi amesema Serikali itashirikiana na vyama viwili vya mawakili katika masuala ya kisheria ...
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameandika historia mpya kwenye muziki huo usiku wa kuamkia leo Juni 14, 2025, baada ya kuujaza ukumbi wa Royal Albert uliopo jijini London kwa ...
Mtayarishaji na Muongozaji wa Tamthilia inayofanya vizuri katika mtandao wa YouTube ya ‘Dunia’ Issa Madinga maarufu Baba Asma ameweka wazi kukataa mapendekezo kadhaa kutoka kwa wamiliki wa ...
Filamu 68 zitachuana kuwania tuzo katika Tamasha la 28 la Kimataifa la Filamu (ZIFF) linalotarajiwa kuanza kufanyika Juni 25 ...
Mjadala unaoendelea kuhusu matishio ya kiusalama yakiwemo matukio ya ama watu kutekwa au kuuawa ambayo yamezua wasiwasi ...
Wakati pato halisi la Taifa lilifikia Sh156.6 trilioni mwaka 2024 kutoka Sh148.5 trilioni mwaka uliotangulia, wabunge wameonyesha hofu juu ya hali ya kukua kwa uchumi wa Tanzania huku ukuaji ...