News

DODOMA; SERIKALI inakusudia kupunguza kiwango cha ushuru wa bidhaa kwenye vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) vinavyozalishwa ndani ya nchi kutoka shilingi 561 kwa kila lita hadi shilingi ...
“Mheshimiwa Dk Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliongeza kima cha chini cha mshahara kutoka ...
DODOMA; SERIKALI inakusudia kufanya marekebisho kwenye Kanuni za Sheria ya Usalama Barabarani za mwaka 2024 ili kupunguza ada ...
Dar es Salaam: Serengeti Breweries Limited (SBL), kampuni tanzu ya Diageo PLC, leo, Alhamisi, imewapokea Balozi wa Uingereza ...
KATIKA mwaka 2025/26, Serikali itaongeza kima cha chini cha pensheni ya kila mwezi kwa wastaafu wanaolipwa na hazina kutoka ...
“ Nakisi ya bajeti (ikijumuisha misaada) kuwa asilimia 3.0 ya Pato la Taifa mwaka 2025/26 kutoka asilimia 3.4 mwaka 2024/25; ...
Amesema tathmini ya uhimilivu wa deni iliyofanyika Oktoba 2024 imeonesha kuwa deni ni himilivu katika kipindi cha muda mfupi, ...
DODOMA: WATANZANIA wametakiwa kuwa macho wasiruhusu misingi na nguzo ya Taifa itikiswe na kuingia kwenye mtego wa adui. Kauli ...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema uwepo wa demokrasia na uhuru wa kutoa ...
Hii ni ajali ya kwanza ya kusababisha vifo kuwahi kutokea kwa ndege ya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner tangu ianze kutumika ...
TIMU ya taifa ya wanawake ya kriketi ya Tanzania imetinga nusu fainali katika mashindano ya Kwibuka nchini Rwanda kwa ushindi ...
Akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika Jumatano, Juni 11, 2025, jijini Dodoma kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Mkurugenzi wa TEHAMA wa wizara hiyo, Dk Silvanus Ilomo, ...