Alisema, "F-47 itakuwa ya kisasa zaidi, yenye uwezo mkubwa, ndege hatari zaidi kuwahi kuundwa.” Aliongeza kuwa ndege hiyo itakuwa na uwezo wa kutogunduliwa na rada na kwamba toleo la majaribio ...
Sinare amesema migogoro hiyo ni ongezeko kubwa kuwahi kutokea kwani kwa kipindi cha nyuma walikuwa wanapokea migogoro minne kwa mwaka jambo ambalo linaonyesha kuwa wasanii wa kazi za sanaa wamepata ...
Wizara imewataka wananchi kuwahi kwenye vituo vya afya kwa uchunguzi na matibabu wanapohisi dalili za ugonjwa wa homa ya nyani. Pia, imewataka wananchi kuepuka kugusana, kupeana mikono kukumbatiana au ...
Dar es Salaam. Nyota yake iling'aa baada ya kuonekana katika shindano la kusaka vipaji la Bongo Star Search (BSS) na sasa Kala Jeremiah ni miongoni mwa wasanii bora wa Hip Hop kuwahi kutokea Bongo.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results