Mpepo ambaye alikuwa akicheza Ligi Kuu ya Zambia, inaelezwa yupo kwenye mazungumzo na Klabu ya Tabora United huku pia Kengold FC nao wakitajwa kuhitaji huduma ya mshambuliaji huyo wa zamani wa Timu ya ...
KITASA wa Fountain Gate, Joram Mgeveke, amekiri pamoja na kukutana na washambuliaji tofauti katika maisha ya soka, lakini ukweli hakuna aliyekuwa hatari kama Fiston Mayele alivyokuwa akicheza Ligi Kuu ...
KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Alphonse Mabula aliyekuwa akicheza FK Spartak Subotica ya Serbia, amejiunga na Shamakhi FK inayoshiriki Ligi Kuu Azerbaijan kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu. Mabula ...
Shambulizi hilo lilifanywa na Mpanzu aliyekuwa akicheza mechi ya kwanza akiwa na timu hiyo, akishirikiana na Kapombe. Kipigo hicho kinaiacha Kagera Sugar katika nafasi ya 14 kwenye msimamo wa Ligi Kuu ...
Ashley Young ni mmoja kati ya mastaa wenye historia kubwa katika soka la England akicheza kwa mafanikio zaidi akiwa na Manchester United kabla ya kwenda Inter Milan, kisha Astona Villa na sasa Everton ...
Kufanya hivyo, unahitaji kuwa na bidii kila siku." Ashley Young ni mmoja kati ya mastaa wenye historia kubwa katika soka la England akicheza kwa mafanikio zaidi akiwa na Manchester United kabla ya ...
Ndiye mchezaji ambaye iliaminika ataifanya kazi yake vizuri ya kukata umeme eneo la katikati akiwa na jukumu kubwa na kuwalinda mabeki wake akicheza kama namba 6. Ni mchezaji mwenye uzoefu wa kucheza ...
Alishinda taji la La Liga na Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya msimu uliopita, lakini mara nyingi alikuwa akicheza kama nguvu mpya. Morata huenda akachukua nafasi ya mwenzake wa Uhispania Diego Costa ...