Camara, raia wa Guinea, aliyesajiliwa mwanzoni mwa msimu akitokea, Horoya FC, amekuwa kwenye kiwango bora kabisa ikiwa ni mara kwanza akicheza Ligi Kuu ya Tanzania, akiwa amekaa langoni mara zote 16 ...
Mashabiki wa Simba hivi sasa wanachizika na kiwango bora cha kiungo huyo aliyesajiliwa akitokea Fountain Gate, ambaye amekuwa akicheza sambamba na Fabrice Ngoma iliyemsajili kabla ya kuanza kwa msimu ...
Msimu wake wa kwanza akiwa PAOK 2023/24 Samatta alicheza mechi 29 za mashindano yote akifunga mabao mawili huku msimu huu akicheza mechi sita akiwa hana bao. Tangu msimu 2024/25 uanze mambo yamekuwa ...
Picha Hamida Shariff. Kilosa. Mtoto mwenye umri wa miaka miwili, Shamimu Nasibu, anadaiwa kuibwa wakati akicheza na mwenzake jirani ya nyumbani kwao, kitongoji cha Kisiwani, kijiji cha Tunda, kata ya ...
Yanga iliwahi kumtaka Basiala msimu mmoja uliopita ikivutiwa na wakati huo akicheza kama kiungo wa pembeni lakini baadaye akabadilishiwa nafasi na kuchezeshwa kama kiungo wa kati mshambuliaji nyuma ya ...