Akizungumza na Nipashe jana, Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Steven Mguto, alisema kwa sasa hawezi kuzungumza chochote mpaka hapo kikao kitakapokaa na kutoa maamuzi. "Kwa sasa siwezi kuzungumza chochote juu ...