News
HIVI karibuni wakati sakata la mechi ya Simba na Yanga likianza kupamba moto, kulivumishwa habari kuwa Shirikisho la Kimataifa la Soka (Fifa), litatuma wawakilishi wake kuja kuchunguza ...
Jana mida flan hivi, mdogo mdogo wakati narudi nyumbani nikiwa natoka zangu Jangwani kupiga kelele na kina Mzize. Nikakumbuka mfukoni sina hata mia, mawazo yakahama kutoka Jangwani hadi ...
Ofisa Kilimo wa Kata ya Magengeni, Rashidi Karim anasema mafunzo hayo ni muhimu kwa maofisa hao ni mwongozo mzuri kwa ...
Picha za satelaiti zilizopigwa Juni 29 zinaonyesha vifaa na mashine nzito za ujenzi vikifanya kazi katika kituo cha nyuklia cha Fordo nchini Iran, ambacho hivi karibuni kililengwa na mashambulizi ya M ...
Utafiti unaofuatiliwa kwa karibu juu ya matarajio ya biashara nchini Japani unaonyesha kuimarika kidogo miongoni mwa kampuni ...
“Katika Mwaka wa Fedha 2023/2024,” Mavunde anasema: “Sekta ya madini ilichangia Sh bilioni 753 kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali ...
Wataalamu wamechunguza muda, umuhimu na sifa za mradi huu. Inasemekana vifaa hivi vya ulinzi vinavyotengenezwa na Uturuki ...
Hayo yanajiri wakati Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Johann Wadephul amewasili hivi leo mjini Kyiv katika ziara ambayo haijatangazwa na yenye lengo la kudhihirisha kuwa Ujerumani inaendelea kuunga ...
Zaidi ya mwezi mmoja tu baada ya kutangazwa Mei 22, vikwazo vya Marekani dhidi ya serikali ya Sudani vimeanza kutekelezwa, ...
Polisi wa Uturuki wamewakamata hivi leo takriban watu 30 katikati mwa jiji la Istanbul wakati wakijaribu kushiriki sherehe za wapenzi wa jinsia moja ambazo zilipigwa marufuku.
Waziri wa Fedha wa Marekani Scott Bessent anasema Rais Donald Trump anaweza kumteua mrithi wa Mwenyekiti wa Benki Kuu ya ...
RIPOTI MAALUM: Hivi ndivyo ulivyo ukwepaji kodi . By Maulid Mmbaga , Nipashe. Published at 04:54 AM Jun 02 2024. Picha: Maktaba . Kamishna Mkuu wa TRA, Alphayo Kidata. “UKIUZA toa risiti, ukinunua dai ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results