Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu Wizara ya Nishati, Bahati Mtono amesema serikali imeondoa changamoto waizokutana nazo wanawake katika umiliki wa ardhi na masuala ya uongozi.
Jeshi la Uganda limethibitisha siku ya JumapiliMAchi 2, 2025 kwamba limetuma wanajeshi katika mji mwingine wa kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kupambana na makundi yenye ...
Juhudi za ujenzi mpya wa makazi katika mkoa wa Ishikawa uliokumbwa na tetemeko la ardhi uliopo katikati mwa Japani zinakwamishwa na uhaba wa wafanyakazi katika kampuni za ujenzi za eneo hilo.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Wizara ya Nishati, Ziana Mlawa ametoa rai kwa Vijana wa Kike kuwa fedha wanazopata watumie pia katika kufanya uwekezaji hali itakayowajengea uwezo kujiamini ...
Nyambura ambaye ni mtaalamu wa maikrobaolojia, anayeongoza nafasi hiyo kwa mara ya pili, amefanya mahojiano maalumu na Mwananchi, kuhusu uongozi, nafasi yake katika jamii na jinsi alivyopambana na ...
Baada ya mkutano huo katika Ofisi ya Rais wa Marekani, Starmer aliwaambia wanahabari kuwa, “Niko wazi kwamba Uingereza iko tayari kupeleka vikosi na ndege kuunga mkono makubaliano, kwa kufanya ...
Katika miezi ya hivi karibuni, ufuatiliaji wa magonjwa umeonesha ongezeko la magonjwa na vifo katika maeneo matatu tofauti ya nchi, na kusababisha uchunguzi zaidi ili kuthibitisha chanzo cha magonjwa ...
SERIKALI imeeleza mafanikio katika sekta za mifugo na uvuvi. Imesema mauzo ya nyama nje yameongezeka kutoka tani 1,774 mwaka 2021 hadi kufika tani 14,701 na kuongeza mapato ya fedha za kigeni. Pia, ...
Katika mazungumzo na gazeti la HabariLEO, watu mbalimbali wakiwamo viongozi wa dini, taasisi, wasomi na vijana wanaeleza namna jamii inavyoitazama na hata wengine kuiadhimisha kwa mtindo wa kutii amri ...
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, juhudi za kibinadamu zinakutana na changamoto kubwa kutokana na ufurushwaji mkubwa wa watu unaosababishwa na ghasia zinazozidi katika mikoa ya mashariki ya ...
Dodoma. Serikali imetaja mambo manne yatakaosaidia ushiriki wa wanawake na wasichana katika sayansi ikiwemo kuanzisha mifumo rafiki ya kumotisha kwa wanaoshiriki na kufanya vizuri katika sayansi, ...