Abdalla Ahmed Mahmud is a contradiction in terms. He is always calm amid the organised chaos of revving engines, panel beating and general din of a busy workplace. Everyone here is older than him, but ...
The festival was intended to showcase various Land Rover models, including the classic 108, 109 and 110 Defenders, Range Rovers and Freelanders. The city of Arusha in northern Tanzania hosted the ...
Gari la kampuni ya Iris lililoacha njia na kusababisha vifo vya watu wa wawili Pemba. Pemba. Watu wawili akiwemo mwalimu wa Shule ya Msingi Finya wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kutokana na ...
Kaimu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) Said Ali Mohamed akizungumza wakati wa kutoa taarifa za makusanyo ya robo ya kwanza ya mwaka 2024/25 ofisini kwake Unguja. Unguja. Mamlaka ya Mapato ...
Arusha. Mwili wa mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi. Inadaiwa ...
Diwani wa Chiwale (CCM), wilayani Masasi, Yusuph Mataula akiwa chini ya ulinzi wa Jeshi la Polisi. Picha na Edwin Mjwauzi Masasi. Diwani wa Chiwale (CCM), wilayani Masasi, Yusuph Mataula amejikuta ...
Dodoma. Wakati mchakato kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024 ukiendelea, wagombea na wananchi wanapaswa kutambua nguzo 10 za kufanya kampeni. Uchaguzi huo ni mchakato ...
Arusha. Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumwingilia kinyume cha maumbile ndugu yao mwenye miaka 27 anayedaiwa kuwa na matatizo ya afya ya akili. Akizungumzia tukio hilo ...
Ramadhan Iddi Shaaban anayedaiwa kutekwa na kuuawa kikatili enzi za uhai wake. “Mwanangu ameuawa, kifo cha kikatili naomba haki itendeke waliofanya hivi wachunguzwe, ni kweli kifo kipo lakini sio cha ...
Dar es Salaam, Baraza la Sanaa la Taifa 'BASATA' limelaani vikali tukio lililotokea Septemba 28, mkoani Mbeya la mwanamuziki Zuhura Othman Soud 'Zuchu' kurushiwa vitu jukwaani wakati akitumbuiza.
Dar es Salaam, Mwigizaji mkongwe na mfanyabiashara Wema Sepetu ni kama amejifunza kutokana na yaliyotokea mwaka 2023 katika kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake, kwani mwaka huu amefanya sherehe ya ...
Dar es Salaam. Serikali imesema imeanza kuchukua hatua kuhakikisha ugonjwa wa Marburg hauingii nchini, ikiwa ni pamoja na kuwakinga watoa huduma za afya kupitia miongozo ya matibabu. Hatua hiyo ...