Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson ameupongeza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa maboresho makubwa yaliyofanyika hususan ya kuwafikia wananchi na kuwapa huduma bora. Ameyasema hayo alipokutana na ...
Sanduku hilo lilikuwa likifunikwa na spika zake mbili. Zile spika zilikuwa na sauti, lakini zilikuwa na stereo sana, lakini hazikuwa na besi. Kama muziki unasikilizia nyumbani wala haikuwa na tatizo.
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akizungumza wakati akifungua kikao cha kwanza cha mkutano wa 18 wa Bunge leo Januari 28, 2025 jijini Dodoma. Dodoma. Mbunge wa Iringa Mjini (CCM), Jesca Msambatavangu ...
Msimu wake wa kwanza akiwa PAOK 2023/24 Samatta alicheza mechi 29 za mashindano yote akifunga mabao mawili huku msimu huu akicheza mechi sita akiwa hana bao. Tangu msimu 2024/25 uanze mambo yamekuwa ...
Kinda huyo (18) alisajiliwa dirisha dogo akitokea Mpulungu Harbour FC ya nchini humo akicheza mechi 12 na kufunga mabao manne na asisti tano. Akizungumza na Mwanaspoti, Sichone alisema anatamani ...
Mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa Ulker Sukru Saracoglu jijini Istanbul, Miroshi, mchezaji pekee Mtanzania anayekipiga Ligi Kuu Uturuki maarufu kama Super Lig, ameendeleza makali yake akicheza kwa ...
Mpepo ambaye alikuwa akicheza Ligi Kuu ya Zambia, inaelezwa yupo kwenye mazungumzo na Klabu ya Tabora United huku pia Kengold FC nao wakitajwa kuhitaji huduma ya mshambuliaji huyo wa zamani wa Timu ya ...