Sanduku hilo lilikuwa likifunikwa na spika zake mbili. Zile spika zilikuwa na sauti, lakini zilikuwa na stereo sana, lakini hazikuwa na besi. Kama muziki unasikilizia nyumbani wala haikuwa na tatizo.
Msimu wake wa kwanza akiwa PAOK 2023/24 Samatta alicheza mechi 29 za mashindano yote akifunga mabao mawili huku msimu huu akicheza mechi sita akiwa hana bao. Tangu msimu 2024/25 uanze mambo yamekuwa ...
Kinda huyo (18) alisajiliwa dirisha dogo akitokea Mpulungu Harbour FC ya nchini humo akicheza mechi 12 na kufunga mabao manne na asisti tano. Akizungumza na Mwanaspoti, Sichone alisema anatamani ...
“Kwa upande wa Simba wakati ligi inaanza msimu huu, Fabrice Ngoma hakuwa na nafasi badala yake akawa anacheza Debora Mavambo, Augustine Okajepha au Mzamiru Yassin, kocha alipompa nafasi Ngoma kiwango ...
Mpepo ambaye alikuwa akicheza Ligi Kuu ya Zambia, inaelezwa yupo kwenye mazungumzo na Klabu ya Tabora United huku pia Kengold FC nao wakitajwa kuhitaji huduma ya mshambuliaji huyo wa zamani wa Timu ya ...
Mzize, ambaye msimu wake wa kwanza alikuwa akicheza nyuma ya Mayele baada ya kupandishwa kutoka timu ya vijana ya Yanga, ikiwa uhamisho wake utakamilika, utawafunika wachezaji wote waliowahi kuuzwa ...