ZIKIWA zimepita wiki kadhaa ikishuhudiwa kusambaa kwa picha jongefu za askari wa usalama barabarani wakipokea rushwa ...
Sweden imesema imekamata meli inayoshukiwa kuharibu nyaya za mawasiliano za chini ya Bahari ya Baltic zinazounganisha nchi ...
Ferwafa inajiandaa kuomba mafunzo kutoka FIFA ili kutoa vyeti kwa maafisa wa Rwanda kuhusu sheria na uendeshaji wa VAR.
Nchi ya Rwanda hivi leo itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa 26 wa maafisa wakuu wa jeshi la Polisi katika ukanda wa Afrika ya ...
WAKAZI wa manispaa wako hatarini kukumbwa na maradhi, ikiwamo saratani kutokana na kukithiri kwa taka za plastiki ...
Waziri wa mambo ya Kigeni wa Uturuki Hakan Fidan ameomba ushirikiano wa kikanda katika kukabiliana na wanamgambo wa Chama cha ...
Hata kama Mexico na Cuba zitapinga kubadilisha jina la Ghuba, Donald Trump huenda akaweza kutimiza ombi lake, hata kama nchi ...
Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wamekwama kutinga hatua ya robo fainali ya mashindano hayo ...
JIONI na usiku wa Jumapili mambo yalikuwa mazuri sana kwa wadau wa soka ndani na nje ya Tanzania. Timu ya Simba ilipata sare ...
Umoja wa Kujihami wa Nchi za Kaskazini mwa Atlantiki, NATO unaongeza doria katika Bahari ya Baltiki baada ya bomba na nyaya ...
Juzi Alhamisi, Trump alionyesha shauku ya kukutana na Putin haraka iwezekanavyo. Alisisitiza kuwa vita vya Ukraine vinahitaji ...
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litafanya mkutano wa dharura baadaye leo kujadili mzozo unaoongezeka mashariki mwa ...