"Nchi kwa sasa iko njia panda na ikiwa mivutano hii haitapungua, kunahatari ya nchi kutumbukia katika mzozo kamili. Watu wanarudi nyuma kwenye makabila yao, siasa zao za kikanda. Hii haitatusaidia ...
"Sudan Kusini iko katika ukingo wa vita vipya vikubwa," linaonya Shirika la Kimataifa linalotatua migogoro International Crisis Group (ICG), ambalo lina wasiwasi kuhusu kuzuka kwa ghasia mpya ...
Awali unene ulitazamwa kama tatizo la nchi za Magharibi pekee, lakini katika miaka ya hivi karibuni limegeuka kuwa tatizo katika nchi za kipato cha kati kama India. Ili kukabiliana na hili ...
Manchester City inamfuatilia kwa karibu kiungo wa kati wa Real Madrid na Ufaransa Eduardo Camavinga, 22. (Florian Plettenberg) Arsenal wanapanga kumnunua kiungo wa kati wa Brazil Bruno Guimaraes ...
SIKU ya Wanawake Duniani, iliyoadhimishwa Machi 8, 2025 kitaifa jijini Arusha, Nipashe Digital imeandaa takwimu zinazoonesha ushiriki wa wanawake katika nafasi ya ubunge kuanzia mwaka 2020 hadi 2025 ...
RAIS Samia Suluhu amesema suala la kupigania usawa wa kijinsia haliwezi kufanyika katika majukumu ya asili katika uumbaji na kuomba kusaidiana kati ya wanaume na wanawake. Akizungumza na wananchi ...
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir amesema utamaduni wa kufuturisha waumini wakati wa Mfungo wa Ramadhani una malipo ...
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Dawa na Uhalifu UNODC leo imeonya kuwa dawa zenye nguvu zaidi zilizotengenezwa kufanana na mihadarati asilia au za sintetiki huenda zikapata mahitaji makubwa zaidi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results