News
KAIZER Chiefs, imesitisha unyonge mbele ya Mamelodi Sundown baada ya kuichapa kwa mabao 2-1 katika mechi ya nusu fainali ya ...
WAWAKILISHI pekee wa Tanzania katika michuano ya CAF, Simba imeamua kuwapeleka wapinzani wao wa mechi za nusu fainali, ...
MSHAMBULIAJI wa Marseille, Mason Greenwood huenda akatimkia Saudi Arabia katika dirisha la majira ya kiangazi baada ya ...
KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amefungua milango ya kusaini mkataba mpya wa kuendelea kusalia kwenye kikosi hicho na kufunguka ...
BAADA ya kuizamisha Mbeya City katika mechi ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho la ndani, Simba kwa sasa inaingia kwenye ...
NI rahisi sana kupotoshwa kuhusu mgogoro wa uongozi unaoendelea katika Chama cha Soka cha Wilaya ya Temeke (Tefa) ambako kwa ...
YANGA inajiandaa kushuka uwanjani Jumanne hii kuvaana na Stand United, huku kocha wa timu hiyo akifichua kuwa, kukosekana kwa ...
KIPA wa Manchester United aliondolewa katika kikosi kilichosafiri kwenda Newcastle jana kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ...
LIGI Kuu Bara imesimama kwa muda, lakini hiyo haina maana uhondo wa soka haupo kwani leo kwenye viwanja viwili tofauti, kuna ...
Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’ imepangwa kundi A katika fainali za Mataifa ya Afrika ...
PRESHA inazidi kupanda na kushuka kwa Tanzania Prisons kutokana na matokeo iliyonayo katika Ligi Kuu Bara, huku ...
Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’ leo itafahamu kundi itakalopangwa na wapinzani ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results