Cedrick Fogwan alipokutana kwa mara ya kwanza na chura wa goliath alivutiwa na ukubwa wake. Alikua hadi ukubwa wa paka, ndiye chura mkubwa zaidi ulimwenguni. Karibu kama kushika mtoto (wa binadamu ...